Examination Card

 Ili kupata examination card unabidi usajili masomo yote kwenye kozi husika kama course ina masomo ya option unabidi uyatiki yote baada ya kuyatik hayo masomo ukienda kwenye sehemu ya examination card .

Examination Card itatokea Baada ya hapo Utabidi ulitoe somo ambalo wewe sio chaguo lako na ubakishe somo ambalo wewe ndo unataka kufanyia mtihami.

📝 Kumbuka

Ikiwa unasoma Population, nenda ukatoe ✓ kwenye Environment. Vivyo hivyo, kama unasoma Environment, nenda ukatoe ✓ kwenye Population ili usisome mada mbili zinazofanana.

Video